Al Fajir
Chagua katika wale ndugu yule aliye mwenye kuongoka, kwani hakika Rafiki huongoka kwa sababu ya Rafiki yake. Na kurafikiana na watu wema ni dawa katika moyo zinazo zidisha kwa mtu uchangamfu zaidi na nguvu.