Good Deeds Service
Praying and Prayers
Mpendwa na mdau wangu wa muhimu, karibu sana kwenye huduma zangu kupitia madhabahu hii ya Sadaka Network, ni maombi yangu sala zangu kwaajili yako, Mungu ashibishe mema maisha yako, nakukurejeshea afya Wewe na familia yako, Ubarikiwe Sana.