Waambie wana wa Israel wasonge mbele
Jackson S. Jackson (Identity Code: P0002)
Bishop
Jackson S. Jackson (Identity Code: P0002)
Bishop
Anglican Church Diocese of DSM (Jengo kubwa la biashara mtaa wa Arusha Ilala)
Dar es Salaam, Ilala, DSM
Tanzania

Personal Message

Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea; Nitakushauri,jicho langu likikutazama (zab 32:8)

Initiatives

Put a Smile Back On Their Faces - Press Conference
Nov 08, 2018

Watanzania wameombwa kwa pamoja kushirikiana na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya SADAKA NETWORK , Hospitali ya Muhimbili na Aga Khan kwa kushirikiana na Women to women foundation kuchangia kurudisha tabasamu usoni kwa wakina mama na watoto waliopata matatizo hayo kwa bahati mbaya, kupata ajali,kwa ukatili wa kijinsia, kupigwa au matatizo yoyote yaliyopelekea wao kuharibika maumbile yao ikiwa ni usoni ama sehemu nyengine ya mwili.

Mwanzilishi wa taasisi hiyo Dkt. Ibrahim Msengi akizungumza ... Read More...

Register for Free

Followers

Donate to community projects

DONATE

View All Services

All Services