Balozi

wezesha jamii. kuwa sehemu ya mabadiliko kwenye Maisha ya watu kwa kufanya maisha yao kua bora kwa ajili ya baadae , boresha maisha yao.

Badili Dunia, Anza hapa, Gusa Maisha.

Monalisa .
Muigizaji/Muandaaji
Namba ya Utambulisho: Y0003

Kama sio Mimi, nani? Kama sio sasa lini?

Hasheem Thabeet
Mwanamichezo
Namba ya Utambulisho: Y0005

Don't wish for it, Work for it.

Shilole .
Mwanamuziki
Namba ya Utambulisho: Y0006

Mwanamke ndiyo nguvu ya Taifa

Belina (Farida) Mwemage Mgeni
Entrepreneur
Namba ya Utambulisho: Y0007

Belive in your self, you can be any one

Marsha Victoria Makamba
Mkurugenzi Mtendaji
Namba ya Utambulisho: Y0008

Ukarimu ni alama ya imani na yeyote asiyemkarimu hana Imani.

Doris William Mollel
Mwanaharakati
Namba ya Utambulisho: Y0009

Humanity is key to life

Alhad Mussa Salum
Sheikh wa mkoa wa dar es salaam
Namba ya Utambulisho: A0002

Fanya utakavyo, kama ufanyavyo ndivyo utakavyolipwa

Mboni Ally Masimba
Mkurugenzi
Namba ya Utambulisho: Y0010

Usinichukulie poa

Jackson Sosthenes Jackson
Askofu
Namba ya Utambulisho: P0002

Waambie wana wa Israel wasonge mbele

Gnako .
Mwanamziki
Namba ya Utambulisho: Y0011

"NATAKA NITOE KILE MUNGU ALICHONIPA"

Layla (Voice Fairy)
Mwanamuziki
Namba ya Utambulisho: Y0012

"Watendee wengine kama wewe upendavyo kutendewa"

Dina Peter Marios
Mtangazaji
Namba ya Utambulisho: Y0013

Irene Elias Kiwia
CEO
Namba ya Utambulisho: Y0015

If you cannot dream it, you cannot became it

Zion Kiwia Marshall
Mwanafunzi
Namba ya Utambulisho: Y0016

Dhamira yangu ni kuwa bora zaidi

Elly David
Motivation Speaker
Namba ya Utambulisho: Y0025

Never too late for change