Times Fm mguso wa jamii
Maisha Mseto (TIMES FM) (Namba ya Utambulisho: C0011)
Kipindi cha Redio
Maisha Mseto (TIMES FM) (Namba ya Utambulisho: C0011)
Kipindi cha Redio

Ujumbe Binafsi

Watanzania tumegawanyika katika madaraja tofauti wapo waliokuwa nacho na wasiokuwa nacho ila kwa ujumla wetu wote ni jamii moja, Hivyo basi tunatakiwa kuungana katika kipindi cha uhitaji.Sisi kama Times fm Maisha mseto tunaguswa na haya hivyo tunakuomba nawe mwana jamii tuungane pamoja kukuza na kuleta maendeleo katika jamii yetu.

Miradi

SADAKA NETWORK,AGAKHAN NA HOPITAL YA MUHIMBILI KUUNGANA KUSAIDIA WAATHIRIKA WA UKATILI WA KIJINSIA
Nov 08, 2018

Watanzania wameombwa kwa pamoja kushirikiana na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya SADAKA NETWORK , Hospitali ya Muhimbili na Aga Khan kwa kushirikiana na Women to women foundation kuchangia kurudisha tabasamu usoni kwa wakina mama na watoto waliopata matatizo hayo kwa bahati mbaya, kupata ajali,kwa ukatili wa kijinsia, kupigwa au matatizo yoyote yaliyopelekea wao kuharibika maumbile yao ikiwa ni usoni ama sehemu nyengine ya mwili.

Mwanzilishi wa taasisi hiyo Dkt. Ibrahim Msengi akizungumza... Soma Zaidi...

Jiandikishe bure

Wafuasi

Changia mradi ya jumuiya

CHANGIA

Onyesha huduma zote

Huduma zote