Ni jukumu letu kusaidiana kwa kila hali na mali kutoa ni moyo na siyo utajiri.
Mradi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Urma
Disemba ya mwaka uliopita tulichukua hatua ya kujifunza kuhusu vituo vya watoto yatima na namna vinaendeshwa hapa nchini. Tulitaka kuona kwa macho yetu hali ya watoto yatima na hali ya vituo watoto wanapoishi. Ukweli, ni mengi tuliyogundua kwa mfano maeneo, hali ya vituo na masiha yao ya kila siku.
Kituo cha Watoto Yatima cha Urma ni nyumbani kwa watoto yatima zaidi ya 200. Wanazo nyumba nne hapa Dar es Salama ambazo zote zimejaa watoto yatima. ...
Soma Zaidi...