WOMEN RESTORING WOMEN
Reconstructing Women International (RWI) (Namba ya Utambulisho: X0003)
International Foundation
Reconstructing Women International (RWI) (Namba ya Utambulisho: X0003)
International Foundation

Ujumbe Binafsi

NAANIMINI KWENYE KUWAJALI WANAWAKE NA WASICHANA AMBAO WAMETENGWA NA KUKATALIWA KWENYE JAMII ZAO.TUNATUMA UJUMBE MUHIMU SANA KWAMBA KILA MWANAMKE ANATHAMANI,KILA MSICHANA NI WAMUHIMU. WANAWAKE WOTE WANAHAKI YA KUISHI KWA KUTHAMINIWA HATA KAMA WANAMAJERAHA NA MATESO.

Miradi

SADAKA NETWORK,AGAKHAN NA HOPITAL YA MUHIMBILI KUUNGANA KUSAIDIA WAATHIRIKA WA UKATILI WA KIJINSIA
Nov 08, 2018

Watanzania wameombwa kwa pamoja kushirikiana na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya SADAKA NETWORK , Hospitali ya Muhimbili na Aga Khan kwa kushirikiana na Women to women foundation kuchangia kurudisha tabasamu usoni kwa wakina mama na watoto waliopata matatizo hayo kwa bahati mbaya, kupata ajali,kwa ukatili wa kijinsia, kupigwa au matatizo yoyote yaliyopelekea wao kuharibika maumbile yao ikiwa ni usoni ama sehemu nyengine ya mwili.

Mwanzilishi wa taasisi hiyo Dkt. Ibrahim Msengi akizungumza... Soma Zaidi...

Jiandikishe bure

Washirika wa Thamani

Changia mradi ya jumuiya

CHANGIA

Onyesha huduma zote

Huduma zote