Muziki Unaongea
EFM . (Namba ya Utambulisho: C0006)
kituo cha radio

Rudisha tabasamu usoni mwao kwenye TOT Bonanza na SADAKA angels.
Jul 27, 2019

Ilikuwa tarehe 27/07/2019 ambapo TOT BONANZA lilifanyika katika viwanja vya Posta kijitonyama iliyoanza kwa mashindano ya mbio mapema saa 12 asubuhi. Watu wachache walifanikiwa kufika mapema huku wengine walifika baadae saa 4 asubuhi. Michezo ilifurahisha kwasababu kulikuwa na washiriki wengi kama wajasiriamali, wanamichezo na washangiliaji SADAKA network pia tulikuwepo. Washiriki walipata nafasi ya kujionea mambo mapya na marafiki. Kila kitu kilichofanyika siku hiyo kilikuwa cha kufurahisha na kuvutia.