Fanya utakavyo, kama ufanyavyo ndivyo utakavyolipwa
Alhad M. Salum (Namba ya Utambulisho: A0002)
Sheikh wa mkoa wa dar es salaam
Alhad M. Salum (Namba ya Utambulisho: A0002)
Sheikh wa mkoa wa dar es salaam
BAKWATA DSM (Lumumba Primary School)
Dar es Salaam, Ilala, Dar es salaam
Tanzania

Ujumbe Binafsi

kila mmoja ni mchungaji na kila mmoja ataulizwa kwa kile alichokichunga mume ni mchungaji kwa mkewe na familia yake nae ataulizwa mke pia ni mchungaji katika nyumba ya mumewe nae ataulizwa na mtumishi ni mchunga nae ataulizwa katika kile alichokichunga basi wote ni wachungaji na mtaulizwa kwa vile mlivyovichunga.

Miradi

SADAKA NETWORK,AGAKHAN NA HOPITAL YA MUHIMBILI KUUNGANA KUSAIDIA WAATHIRIKA WA UKATILI WA KIJINSIA
Nov 08, 2018

Watanzania wameombwa kwa pamoja kushirikiana na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya SADAKA NETWORK , Hospitali ya Muhimbili na Aga Khan kwa kushirikiana na Women to women foundation kuchangia kurudisha tabasamu usoni kwa wakina mama na watoto waliopata matatizo hayo kwa bahati mbaya, kupata ajali,kwa ukatili wa kijinsia, kupigwa au matatizo yoyote yaliyopelekea wao kuharibika maumbile yao ikiwa ni usoni ama sehemu nyengine ya mwili.

Mwanzilishi wa taasisi hiyo Dkt. Ibrahim Msengi akizungumza ... Soma Zaidi...

Jiandikishe bure

Wafuasi

Pata mwongozo kupitia imani yako

MUONGOZO

Changia mradi ya jumuiya

CHANGIA

Tuma sala maalum

MAOMBI

Duka

DUKA

Onyesha huduma zote

Huduma zote