uongozi ni utumishi
Askofu Nickson J. Kalinga (Namba ya Utambulisho: R0031)
Askofu
Bethel river of life (Stanley sec school)
Dar es Salaam, Temeke, Dar es salaam
Tanzania

Sala ya mafanikio maishani

Wote tunatamani maisha mazuri na tunatamani kupata mahitaji muhimu katika maisha kama chakula, malazi , afya njema na elimu. Licha ya hayo, maisha yana changamoto nyingi ambazo zinasababisha umasikini, magonjwa na kuleta woga kuhusu yanao jiri kesho. Tunahitaji Baraka kutoka kwa Mungu ambazo zitatuongoza kuchuma na kufurahia mahitaji muhimu katika maisha