uongozi ni utumishi
Askofu Nickson J. Kalinga (Namba ya Utambulisho: R0031)
Askofu
Bethel river of life (Stanley sec school)
Dar es Salaam, Temeke, Dar es salaam
Tanzania

Sala ya mafanikio katika ndoa

Ndoa hupendeza endapo wanandoa wana Amani. Kila mmoja anayefunga ndoa angependelea kuona ndoa yake inakua nakuongozwa na upendo.. Haya yote yanawezekana endapo wanandoa watamweka Mungu kati yao. Wanandoa wengi hupata maumivu kwa sababu ya kusahau kuwa ndoa ni muunganiko mtakatifu na utakatifu wake huongezwa nguvu kwa a sala pamoja na upendo. Ili kufurahia maisha ya ndoa, inabidi kumruhusu Mungu kuwafundisha jinsi ya kupendana kwani yeye ni chanzo cha upendo na Amani.