uongozi ni utumishi
Askofu Nickson J. Kalinga (Namba ya Utambulisho: R0031)
Askofu
Bethel river of life (Stanley sec school)
Dar es Salaam, Temeke, Dar es salaam
Tanzania

Sala kwa ajili ya kuwa mzazi

Mara nyingine watu wanapata shida kupata watoto na kila mara wanahama kutoka kwa daktari mmoja kwenda kwa mwingine kutafuta ushauri ya jinsi ya kushika mimba. Wengine hutumia njia za kienyeji lakini hawafanikiwi. Watoto ni Baraka kutoka kwa Mungu na wakati wanandoa wanahangaika kupata watoto, ni muhimu Mungu kuingilia kati , kwani ndie aliesema tuzae na kuijaza Dunia na yeye hutimiza ahadi zake.