Mshukuru Muumba
Shekhe Maulid S. Kidebe (Namba ya Utambulisho: A0005)
Sheikh wa wilaya ya ubungo
Mbezi ya kimara (karibu na masjid nuur)
Dar es Salaam, Ubungo, Dar es salaam
Tanzania

Katika safari ya maisha ya mwanadamu njia anayoichagua na utayari wake wa kujitolea utaonyesha thamani ya uwepo wake kwake yeye, familia, jamii na mbele ya mwenyezi Mungu. Mara nyingi tunaomba msaada kwa Mungu, kutuwezesha kuimarika sisi wenyewe na kuimarisha maombi yetu na Imani zetu ili kuongeza thamani ya maisha yetu. Mtandao wa SADAKA inakuwezesha kuwa karibu zaidi na jumuiya yako, inakupa nguvu na matumaini kwa kujitolea kwa jamii yako na kugusa maisha yao. [2:274] Wale wanaojitolea usiku na mchana, kwa siri au kwa uwazi, watarejeshewa wema wao na Mungu. Na hawana haja kuhofia lolote, wala kuhuzunika.
الَّذِينَ يُنفِقُونَ أَمْوَالَهُم بِاللَّيْلِ وَالنَّهَارِ سِرًّا وَعَلَانِيَةً فَلَهُمْ أَجْرُهُمْ عِندَ رَبِّهِمْ وَلَا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُون

Pamoja Tunaweza, Umoja ni nguvu!

Miradi yetu ya kijamii

Miradi mipya itakuwepo hivi karibuni, tafadhali tutembelee punde.