Acha kuteseka Yesu anaponya
Askofu Dr. Getrude P. Rwakatare (Namba ya Utambulisho: S0001)
Bishop
Mountain of Fire Tanzania/ Assemblies of God (Mikocheni b)
Dar es Salaam, Kinondoni, DSM
Tanzania
Askofu Dr. Getrude P. Rwakatare (Namba ya Utambulisho: S0001)
Bishop
Mountain of Fire Tanzania/ Assemblies of God (Mikocheni b)
Dar es Salaam, Kinondoni, DSM
Tanzania

Muda wa sala

Jumapili
2:30-3:30
Ibada ya kwanza
3:30-4:30
Ibada ya pili
5:00-8:00
Ibada kuu
Jumatatu
11:30-12:30
Mafundisho ya waongofu wapya
4:00-10:00
Usiku- Mkesha Vijana
Jumanne
11:30-12:30
Mafundisho ya waongofu wapya
4:00-10:00
Usiku- Mkesha akina Mama
Jumatano
11:30-12:30
Ibada ya wote
4:00-10:00
Usiku- Mkesha akina Single Mothers
Alhamisi
11:30-12:30
Usafi wa kanisa
4:00-10:00
Usiku- Mkesha akina Baba
Ijumaa
11:30-12:30
Ibada ya wote
4:00-11:30
Usiku- Mkesha mkuu
Taarifa kuhusu muda wa sala Unaweza kubadilika mara kwa mara.SADAKA network, unakusihi kuthibitisha taarifa zako kabla ya kuingia hatua inayofuata.

Ujumbe Binafsi

Bwana yesu apewe Sifa,Mimi naitwa Dr.Getrude Rwakatare ,kiongozi mkuu wa makanisa ya mountain of fire Tanzania au mlima wa moto Tanzania leo nataka nikutambulishe kwenye ukurasa wangu wa maombi yenye majibu papo kwa papo.
Pengine unaweza kuwa mbali na kanisa ,pengine unaweza kuwa mkoani ,pengine hata uko nchi nyingine ya mbali ukurasa huu utakusaidia kupata maombi moja kwa moja na majibu yakatokea hapo hapo kwa sababu ni ukurasa mzuri kwa ajili yako.
Kama tunavyojua Mungu hujibu maombi,na kama tunavyojua kuna umuhimu wa kumuomba Mungu yale yote yanayotushinda maana yote yanawezekana kwake yeye aaminiye.

Jiandikishe bure

Washirika wa Thamani

Changia mradi ya jumuiya

CHANGIA

Onyesha huduma zote

Huduma zote