Wakati ujao ni bora zaidi kwako kuliko wakati uliopo
Shekhe Hilali S. Makarani - Kipozeo (Namba ya Utambulisho: D0001)
Sheikh wa al Marid islamic former centre
Nyumbani kwake (Karibu na msikiti wa juhudi mchangani)
Dar es Salaam, Kinondoni, DSM
Tanzania
Shekhe Hilali S. Makarani - Kipozeo (Namba ya Utambulisho: D0001)
Sheikh wa al Marid islamic former centre
Nyumbani kwake (Karibu na msikiti wa juhudi mchangani)
Dar es Salaam, Kinondoni, DSM
Tanzania

Muda wa sala

Jumapili
11:15-11:20
Al Fajir
7:00-7:05
Adhuhur
10:00-10:05
Laasir
12:20-12:35
Magharib
2:00-2:05
Inshah
Jumatatu
11:15-11:20
Al Fajir
7:00-7:05
Adhuhur
10:00-10:05
Laasir
12:20-12:35
Magharib
2:00-2:05
Inshah
Jumanne
11:15-11:20
Al Fajir
7:00-7:05
Adhuhur
10:00-10:05
Laasir
12:20-12:35
Magharib
2:00-2:05
Inshah
Jumatano
11:15-11:20
Al Fajir
7:00-7:05
Adhuhur
10:00-10:05
Laasir
12:20-12:35
Magharib
2:00-2:05
Inshah
Alhamisi
11:15-11:20
Al Fajir
7:00-7:05
Adhuhur
10:00-10:05
Laasir
12:20-12:35
Magharib
2:00-2:05
Inshah
Ijumaa
11:15-11:20
Al Fajir
7:00-7:05
Ijumaa
10:00-10:05
Laasir
12:20-12:35
Magharib
2:00-2:05
Inshah
Jumamosi
11:15-11:20
Al Fajir
7:00-7:05
Adhuhur
10:00-10:05
Laasir
12:20-12:35
Magharib
2:00-2:05
Inshah
Taarifa kuhusu muda wa sala Unaweza kubadilika mara kwa mara.SADAKA network, unakusihi kuthibitisha taarifa zako kabla ya kuingia hatua inayofuata.

Ujumbe Binafsi

Kipofu afaidiki kwa mwenye macho kuona, na wala mwenye macho hadhuriki kama kipofu haoni. Kupitia katika Quraan tukufu sura ya 66 aya ya 6, Mwenyezimungu anasema, enyi mlieamini, zikingeni nafsi zenu na nafsi za familia zenu na moto wa Jaanam. Kwani ndani yake kuna Malaika wakali na wenye nguvu ambao hawamuasi Mwenyezimungu kwa yale anayowaamrisha bali wanafanya yale yale ambayo wameamrishwa. Bi maana watakaokua motoni haziwahusu neema za walio peponi, na watakaokuwa peponi hayawahusu mabalaa ya waliokuepo motoni. Hivyo basi tusisahau kumuomba Allah atujaalie mwisho mwema.

Jiandikishe bure

Washirika wa Thamani

Changia mradi ya jumuiya

CHANGIA

Onyesha huduma zote

Huduma zote