Hakuna ugumu kwa mungu yote yanawezakana
Mchungaji Gosbert A. Simtovu (Namba ya Utambulisho: S0002)
Mchungaji
Mlima wa moto {boko magengeni} (Barabala ya Dege beach)
Dar es Salaam, Kinondoni, Dar es Salaam
Tanzania
Mchungaji Gosbert A. Simtovu (Namba ya Utambulisho: S0002)
Mchungaji
Mlima wa moto {boko magengeni} (Barabala ya Dege beach)
Dar es Salaam, Kinondoni, Dar es Salaam
Tanzania

Muda wa sala

Jumatatu
10:30 - 12:30 jioni
Wa mama wote
Mafundisho mbalmbali,kutembeleana,maombi mbalimbali na ushuhudiaji
Jumanne
10:30 - 12:30 jioni
Kujifunza Biblia
Mafundisho mbalimbali ya kumhusu Mungu,Kujifunza utumishi wa Mungu,kujifunza Ushuhudiaji NK.
Jumatano
10:30 - 12:30 jioni
Kujifunza Biblia
Mafundisho mbalimbali ya kumhusu Mungu,Kujifunza utumishi wa Mungu,kujifunza Ushuhudiaji NK.
Alhamisi
10:30 - 12:30 jioni
Siku ya vijana
Kujifunza namna ya kumtumikia Mungu wakati wa ujana wao,kujifunza maigizo,nyimbo na NK .
Ijumaa
04:30 hadi 09:30 usiku
Ibada ya mkesha
Maombi ya kuombea watu mbalimbali Kanisa pamoja na Nchi
Jumamosi
08:00 hadi 02:00 Usiku
Maandalizi ya Ibada ya J pili
Usafi wa mazingira,Kwaya,na kikundi cha Kusifu na kuabudu.
Jumapili
02:00 hadi 08:30 mchana
Siku nzima ya Ibada
Misa ya asubuhi, Sunday School, Ibada Kuu
Taarifa kuhusu muda wa sala Unaweza kubadilika mara kwa mara.SADAKA network, unakusihi kuthibitisha taarifa zako kabla ya kuingia hatua inayofuata.

Ujumbe Binafsi

Ndugu, Rafiki mpendwa wa Huduma hii ya Breakthrough Assemblies of God Boko kupitia Jukwaa hili la Sadaka Network , Kutoka katika kilindi cha Moyo wangu nakuombea Wema wa Mungu na Baraka za Mungu zisiondoke kwako, Barikiwa

Jiandikishe bure

Washirika wa Thamani

Changia mradi ya jumuiya

CHANGIA

Onyesha huduma zote

Huduma zote