Acha kuteseka yesu anaponya
Mchungaji Dickson E. Masima (Namba ya Utambulisho: S0003)
Mchungaji
Mlima wa moto (Exel primary school)
Dar es Salaam, Kigamboni, Dar es Salaam
Tanzania
Mchungaji Dickson E. Masima (Namba ya Utambulisho: S0003)
Mchungaji
Mlima wa moto (Exel primary school)
Dar es Salaam, Kigamboni, Dar es Salaam
Tanzania

Muda wa sala

Jumatatu
04:00 - 10:00Jioni
Maombezi
Mchungaji ukutana na mtu mmojammoja kwa ushauri na maombezi
Jumanne
04:00 - 10:00Jioni
Maombezi
Mchungaji ukutana na mtu mmojammoja kwa ushauri na maombezi
Jumatano
10:30 - 12:30 Jioni
Ibada za matendo makuu ya mungu
Ibada za matendo makuu ya mungu zinazoambatana na kufunguliwa na uponyaji wa vifungo mbali mbali
Alhamisi
10:30 - 12:30 Jioni
Ibada za matendo makuu ya mungu
Ibada za matendo makuu ya mungu zinazoambatana na kufunguliwa na uponyaji wa vifungo mbali mbali
Ijumaa
10:00Usiku - 04:00 alfajili
Mkesha
Maelezo
Jumamosi
09:00 - 12:00 jioni
Mazoezi ya vikundi
Mazoezi ya vkundi vya kusifu na kuabudu
Jumapili
02:00 - 07:30
Ibada kuu
Saa 02:30 hadi 03:30 Morning Glory 03;30 hadi 04:30 Sunday school 04:30 hadi 07;30 Ibada kuu.
Taarifa kuhusu muda wa sala Unaweza kubadilika mara kwa mara.SADAKA network, unakusihi kuthibitisha taarifa zako kabla ya kuingia hatua inayofuata.

Ujumbe Binafsi

Bwana Yesu apewe Sifa

Mimi mchungaji Dickson Emmanuel Masima, mchungaji kiongozi wa kanisa la Mlima wa Moto Kigamboni, Gezaulole. Napenda nikutambulishe kwenye jukwaa langu la maombi lenye mpenyo na majibu ya gafla.Labda wewe uko mbali na eneo la huduma yangu Tanzania au nje ya Tanzania jukwaa hili litakuwezesha kufikiwa na maombi eneo lolote ulipo kwa wakati wowote na utapokea majibu ya papo hapo muda huo huo, Jukwaa hili la maombi ni kuinganishi kizuri kati yakow ewe na mimi kama vile tunavyojua mungu huwatumia watumishi wake kwasababu hakuna jambo lolote la kumshinda mungu wetu.

Jiandikishe bure

Washirika wa Thamani

Changia mradi ya jumuiya

CHANGIA

Onyesha huduma zote

Huduma zote