Nguvu ya neno la Mungu inaponya
Mchungaji Sebastian S. Kimario (Namba ya Utambulisho: S0004)
Mchungaji kiongozi
Mlima wa moto Bunju B (Ofisi ya Serekali ya mtaa Kihonzile)
Dar es Salaam, Kinondoni, Dar es Salaam
Tanzania
Mchungaji Sebastian S. Kimario (Namba ya Utambulisho: S0004)
Mchungaji kiongozi
Mlima wa moto Bunju B (Ofisi ya Serekali ya mtaa Kihonzile)
Dar es Salaam, Kinondoni, Dar es Salaam
Tanzania

Muda wa sala

Jumatatu
10:00 - 12:30Jioni
Matendo makuu ya mungu
Siku ya maombi na Maombezi
Jumanne
06:00 - 10:00 Jioni
Maombi na Ushauri
Maombi ya mtu mmoja mmoja na ushauri
Jumatano
10:00 - 12:30Jioni
Bible Study
Mafundisho ya biblia
Alhamisi
10:00 - 12:00Jioni
Ibada za Nyumbani
Ibada za Makanisa ya Nyumbani na mafundisho pamoja na maombezi.
Ijumaa
10:00 - 12:00
Mafundisho ya Imani
Mafundisho ya Imani kuukulia Wokovu
Jumamosi
8:00 - 10:00Jioni
Kusanyiko la WWK
Kusanyiko la Wanawake wa kikristo{Mafundisho na utumishi}
Jumapili
2:00 - 8:00
Ibada Kuu
Morning Glory,Sunday school,Praise and worship,Mahubiri
Taarifa kuhusu muda wa sala Unaweza kubadilika mara kwa mara.SADAKA network, unakusihi kuthibitisha taarifa zako kabla ya kuingia hatua inayofuata.

Ujumbe Binafsi

Mpendwa na mdau wangu wa muhimu, karibu sana kwenye huduma zangu kupitia madhabahu hii ya Sadaka Network, ni maombi yangu sala zangu kwaajili yako, Mungu ashibishe mema maisha yako, nakukurejeshea afya Wewe na familia yako, Ubarikiwe Sana.

Jiandikishe bure

Washirika wa Thamani

Changia mradi ya jumuiya

CHANGIA

Onyesha huduma zote

Huduma zote