Timu ya SADAKA Network kuwatembelea waathirika wa majanga ya moto na ukatili Majumbani baada ya kufanyiwa upasuaji.
Aug 16, 2019


Timu ya SADAKA network ilipata nafasi ya kuwatembelea waathirika wa majanga yatokeayo majumbani pamoja na ukatili baada ya kufanyiwa upasuaji na kuwekewa bandaji Aga khan hospital ikiwa ni miongoni mwa mradi wa “ rudisha tabasamu usoni mwao” ili kuwafariji, na kuwapatia zawadi ya mafuta “ Vaseline skin creams” yaliyotolewa na Unilever Tanzania ili kurahisisha uponaji wao.
Tunatoa shukrani kwa wabia wetu, Aga khan Hospital, RWI foundation, Muhimbili National Hospital, Unilever, Mai ...

Mkutano na waandishi wa habari kwaajili ya Mradi wa "Rudisha tabasamu usoni mwao"2019
Aug 15, 2019

Timu ya SADAKA network pamoja na madaktari kutoka Aga khan hospital, Muhimbili hospital na wabia wetu MAI consultation waliitisha mkutano na waandishi wa habari ili kutoa taarifa kuhusu mradi unaoendelea wa "Rudisha tabasamu usoni mwao" ambao lengo lake kuu ni kuwafanyia upasuaji wa marekebisho wanawake na watoto waliopata majeraha kutokana na ajali na ukatili majumbani.
Mradi wa "Rudisha tabasamu usoni mwao"unafanyika katika makundi mawili ili kukamilisha idadi ya waathirika wote 100. Kundi ...

Rudisha tabasamu usoni mwao kwenye TOT Bonanza na SADAKA angels.
Jul 27, 2019

Ilikuwa tarehe 27/07/2019 ambapo TOT BONANZA lilifanyika katika viwanja vya Posta kijitonyama iliyoanza kwa mashindano ya mbio mapema saa 12 asubuhi. Watu wachache walifanikiwa kufika mapema huku wengine walifika baadae saa 4 asubuhi. Michezo ilifurahisha kwasababu kulikuwa na washiriki wengi kama wajasiriamali, wanamichezo na washangiliaji SADAKA network pia tulikuwepo. Washiriki walipata nafasi ya kujionea mambo mapya na marafiki. Kila kitu kilichofanyika siku hiyo kilikuwa cha kufurahisha ...

Rudisha tabasamu usoni mwao -Kambi ya uchunguzi Aga khan 2019
Jul 13, 2019


IIlikua tarehe 13 julai 2019 timu ya sadaka network tulifika agakhan hospitali tayari kwakunzana sehemu ya kwanza ya mradi wa kurudisha tabasamu usoni mwa waathirika wa ajali za moto na vurungu za majumbani.
Tunashukuru sana kwakua muitikio ulikua mkubwa watu wengi walifika kwajili ya uchunguzi wa awali Watoto na wanawake walifika kwa wingi kutoka sehemu tofauti tofauti. Kama timu, tuliungana na madaktari kutoka Agakhan na Muhimbili hospitali kwa pamoja tulishirikana kuwa hudumia ...

Rudisha tabasamu usoni mwao 2019 kwenye UDSM bonanza
Jun 29, 2019

Mchezo ni lugha ya kimataifa. Mara nyingi huonekana kama aina ya burudani au uajiri (kwa wachezaji), ila ukweli ni kwamba mchezo, ingawa hili si dhahiri, unalenga na unatumika kwa ajili ya kufanikisha madhumuni mengine, moja kati ya hayo ni kuleta/kuendeleza amani. La mwisho (miongoni mwa yaliyotajwa) kuwa lenye umuhimu mkubwa katika jamii zenye machafuko/mafarakano/vurugu; michezo inaweza ikatumika. Katika ubora wake, michezo inaweza kuleta umoja baina ya watu, bila kujali asili yao, ...

Rudisha tabasamu usoni mwao -kambi ya uchunguzi kisarawe.
Jun 29, 2019

Mradi wa “ Rudisha tabasamu kwenye nyuso zao" unadhumuni la kuwafanyia upasuaji wa kurekebisha wanawake na watoto nchini Tanzania. Kama sehemu ya mradi huu tuliamua kutembelea wilaya ya Kisarawe kwa kusudi la kuweka kambi ya uchunguzi ya kutafuta wanawake na watoto wenye makovu na yaliyo sababishwa na ajali, ajali za moto na ukatili wa kijinsia.
Tulifika Kisarawe Jumamosi asubuhi tarehe 29/06/2014 pamoja na madaktari kutoka Hospitali ya Aga Khan na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na klabu ya ...

“Kitabu kimoja, Mtoto mmoja" kutembelea Oysterbay shule ya msingi Dar es Salaam
May 10, 2019

Vitabu ni maarifa na maarifa ni nguvu, fikiria kama kila mtoto Afrika angekuwa na uwezo wa kupata vitabu, vya somo la aina lolote analotamani, mahali anapoweza kujifunza na kupanua ubunifu kila waendapo shule tofauti na masomo ya kila siku.
Mwanzoni mwa Mei 2019, SADAKA network ilipokea mchango wa vitabu 250 vya masomo tofauti vilivyopo katika lugha ya Kingereza kutoka Ubalozi wa Israeli, Nairobi, maana wao ni miongoni ya wafadhili wa miradi yetu ya kijamii ndani ya Afrika.
Tarehe 10 ...

SADAKA Network ikishirikiana na ubalozi wa Israel nchini Kenya yaunga mkono mradi wa 'Tokomeza zero' Wilaya ya kisarawe, Tanzania
May 06, 2019

Vitabu ni maarifa na maarifa ni nguvu, fikiria kama kila mtoto Afrika angekuwa na uwezo wa kupata vitabu, vya somo la aina lolote analotamani, mahali anapoweza kujifunza na kupanua ubunifu kila waendapo shule tofauti na masomo ya kila siku.
Mwanzoni mwa Mei 2019, SADAKA network ilipokea mchango wa vitabu 250 vya masomo tofauti vilivyopo katika lugha ya Kingereza kutoka Ubalozi wa Israeli, Nairobi, maana wao ni miongoni ya wafadhili wa miradi yetu ya kijamii ndani ya Afrika.
Tarehe 6 ya ...

SADAKA network washerekea siku ya kuzaliwa ya Mmoja wa timu yao pamoja na watoto yatima wa kituo cha Umra na dada Mboni Masimba.
Feb 13, 2019

Mradi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Urma

Disemba ya mwaka uliopita tulichukua hatua ya kujifunza kuhusu vituo vya watoto yatima na namna vinaendeshwa hapa nchini. Tulitaka kuona kwa macho yetu hali ya watoto yatima na hali ya vituo watoto wanapoishi. Ukweli, ni mengi tuliyogundua kwa mfano maeneo, hali ya vituo na masiha yao ya kila siku.
Kituo cha Watoto Yatima cha Urma ni nyumbani kwa watoto yatima zaidi ya 200. Wanazo nyumba nne hapa Dar es Salama ambazo zote zimejaa watoto yatima. ...

SADAKA NETWORK,AGAKHAN NA HOPITAL YA MUHIMBILI KUUNGANA KUSAIDIA WAATHIRIKA WA UKATILI WA KIJINSIA
Nov 08, 2018

Nelson Mandela aliwahi kusema kwamba katika maisha jambo lililo na maana zaidi si kuishi tu. Bali ni utofauti tunaouwezesha kutokea katika maisha ya wengine ndio
unaongeza maana katika maisha tunayoishi. Binafsi naguswa na maneno haya na naamini tuko hapa duniani kwa makusudio makubwa zaidi ya kutafuta ili kupata kile
tunachokitaka katika maisha. Makusudio hayo kwangu ni kuona Wanawake na Watoto ambao ni waathirika wa vitendo mbali mbali dhalili katika jamii yetu, majanga ya asili,
ajali na ...

Ifuatayo