Alhad Salum
Namba ya Utambulisho: A0002
Mukhtasari
1. Rudisha tabasamu kwenye nyuso zao ni mpango chini ya programu ya WomenforWomen ya International Society for Plastic Reconstructive Aesthetic Surgery wakishirikiana na hospitali ya Aga Khan na hospitali ya taifa Muhimbili.
2. Kampeni hii imelenga kurudisha tabasamu kwenye nyuso za wahanga wa ajali na ukatili wa kijinsia ambao umewaachia makovu si tu ya kimwili bali hata kiakili, kwa kuchangisha fedha ambazo zinatumika kwenye utoaji wa upasuaji wa urekebishaji kwa wahanga hao.