Rudisha Tabasamu Usoni Mwao (2018)
(Eneo)
Imekamilika

Chagua kiongozi wako / Taasisi yako ili kuchangia / kusaidia

Project Videos

Mukhtasari

1. Rudisha tabasamu kwenye nyuso zao ni mpango chini ya programu ya WomenforWomen ya International Society for Plastic Reconstructive Aesthetic Surgery wakishirikiana na hospitali ya Aga Khan na hospitali ya taifa Muhimbili.

2. Kampeni hii imelenga kurudisha tabasamu kwenye nyuso za wahanga wa ajali na ukatili wa kijinsia ambao umewaachia makovu si tu ya kimwili bali hata kiakili, kwa kuchangisha fedha ambazo zinatumika kwenye utoaji wa upasuaji wa urekebishaji kwa wahanga hao.

Soma Zaidi...

Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wote waliochangia na kufanikisha mradi huu kwa sababu ya mchango wako maisha ya watu 46 yalibadilishwa na kuwa bora.

Wachangiaji wa Juu

Wachangiaji Wengine