Rudisha Tabasamu Usoni Mwao (2019)
(Eneo)

Chagua kiongozi wako / Taasisi yako ili kuchangia / kusaidia

Project Videos

Testimonial Videos

Mukhtasari

"Rudisha tabasamu usoni mwao” ni mpango endelevu chini ya Reconstructing Women International programu ya International Society for Plastic Reconstructive Aesthetic Surgery wakishirikiana na hospitali ya Aga Khan, hospitali ya taifa Muhimbili na SADAKA network NGO.

Kampeni hii imelenga kurudisha tabasamu kwenye nyuso za wahanga wa ajali na ukatili wa kijinsia ambao umewaachia makovu si tu ya kimwili bali hata kiakili, kwa kuchangisha fedha ambazo zinatumika kwenye utoaji wa upasuaji wa urekebishaji kwa wahanga hao.

Soma Zaidi...
X
0
Kwa kila mchango tunabadilisha maisha,tabasamu moja kwa wakati.
(kila 10 milioni itabadilisha maisha ya mtu mmoja)
TZS
1,149,541
kati ya
10,000,000