Rudisha Tabasamu Usoni Mwao (2019)
(Eneo)
Imekamilika

Zion Marshall

Mwanafunzi
Namba ya Utambulisho: Y0016

Project Videos

Testimonial Videos

Mukhtasari

"Rudisha tabasamu usoni mwao” ni mpango endelevu chini ya Reconstructing Women International programu ya International Society for Plastic Reconstructive Aesthetic Surgery wakishirikiana na hospitali ya Aga Khan, hospitali ya taifa Muhimbili na SADAKA network NGO.

Kampeni hii imelenga kurudisha tabasamu kwenye nyuso za wahanga wa ajali na ukatili wa kijinsia ambao umewaachia makovu si tu ya kimwili bali hata kiakili, kwa kuchangisha fedha ambazo zinatumika kwenye utoaji wa upasuaji wa urekebishaji kwa wahanga hao.

Soma Zaidi...

Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wote waliochangia na kufanikisha mradi huu kwa sababu ya mchango wako maisha ya watu 56 yalibadilishwa na kuwa bora.