Aga Khan Health Service, Tanzania is a not for profit making organization dedicated to serve communities in Tanzania by providing the affordable, access and quality healtchare. Aga Khan Health Service, Tanzania initiated it's first facility in Dar es Salaam in 1929 that was serving as a maternity centre. Today AKHS,T is an healthcare system that is operating across Tanzania offering high end services mojaring on reversing medical tourism through The Aga Khan Hospital Dar es Salaam which is the only private hospital in Tanzania Accredited by Joint Commission Internation (USA) and serve vulnarable communities in partnership with public and private facilities to improve the quality of health systems and lives in Tanzania.
Timu ya SADAKA network ilipata nafasi ya kuwatembelea waathirika wa majanga yatokeayo majumbani pamoja na ukatili baada ya kufanyiwa upasuaji na kuwekewa bandaji Aga khan hospital ikiwa ni miongoni mwa mradi wa “ rudisha tabasamu usoni mwao” ili kuwafariji, na kuwapatia zawadi ya mafuta “ Vaseline skin creams” yaliyotolewa na Unilever Tanzania ili kurahisisha uponaji wao.
Tunatoa shukrani kwa wabia wetu, Aga khan Hospital, RWI foundation, Muhimbili National Hospital, Unilever, Mai ...
Soma Zaidi...
Timu ya SADAKA network pamoja na madaktari kutoka Aga khan hospital, Muhimbili hospital na wabia wetu MAI consultation waliitisha mkutano na waandishi wa habari ili kutoa taarifa kuhusu mradi unaoendelea wa "Rudisha tabasamu usoni mwao" ambao lengo lake kuu ni kuwafanyia upasuaji wa marekebisho wanawake na watoto waliopata majeraha kutokana na ajali na ukatili majumbani.
Mradi wa "Rudisha tabasamu usoni mwao"unafanyika katika makundi mawili ili kukamilisha idadi ya waathirika wote 100. Kundi ...
Soma Zaidi...
Ilikuwa tarehe 27/07/2019 ambapo TOT BONANZA lilifanyika katika viwanja vya Posta kijitonyama iliyoanza kwa mashindano ya mbio mapema saa 12 asubuhi. Watu wachache walifanikiwa kufika mapema huku wengine walifika baadae saa 4 asubuhi. Michezo ilifurahisha kwasababu kulikuwa na washiriki wengi kama wajasiriamali, wanamichezo na washangiliaji SADAKA network pia tulikuwepo. Washiriki walipata nafasi ya kujionea mambo mapya na marafiki. Kila kitu kilichofanyika siku hiyo kilikuwa cha kufurahisha ... Soma Zaidi...
IIlikua tarehe 13 julai 2019 timu ya sadaka network tulifika agakhan hospitali tayari kwakunzana sehemu ya kwanza ya mradi wa kurudisha tabasamu usoni mwa waathirika wa ajali za moto na vurungu za majumbani.
Tunashukuru sana kwakua muitikio ulikua mkubwa watu wengi walifika kwajili ya uchunguzi wa awali Watoto na wanawake walifika kwa wingi kutoka sehemu tofauti tofauti. Kama timu, tuliungana na madaktari kutoka Agakhan na Muhimbili hospitali kwa pamoja tulishirikana kuwa hudumia ...
Soma Zaidi...
Mchezo ni lugha ya kimataifa. Mara nyingi huonekana kama aina ya burudani au uajiri (kwa wachezaji), ila ukweli ni kwamba mchezo, ingawa hili si dhahiri, unalenga na unatumika kwa ajili ya kufanikisha madhumuni mengine, moja kati ya hayo ni kuleta/kuendeleza amani. La mwisho (miongoni mwa yaliyotajwa) kuwa lenye umuhimu mkubwa katika jamii zenye machafuko/mafarakano/vurugu; michezo inaweza ikatumika. Katika ubora wake, michezo inaweza kuleta umoja baina ya watu, bila kujali asili yao, ... Soma Zaidi...
Mradi wa “ Rudisha tabasamu kwenye nyuso zao" unadhumuni la kuwafanyia upasuaji wa kurekebisha wanawake na watoto nchini Tanzania. Kama sehemu ya mradi huu tuliamua kutembelea wilaya ya Kisarawe kwa kusudi la kuweka kambi ya uchunguzi ya kutafuta wanawake na watoto wenye makovu na yaliyo sababishwa na ajali, ajali za moto na ukatili wa kijinsia.
Tulifika Kisarawe Jumamosi asubuhi tarehe 29/06/2014 pamoja na madaktari kutoka Hospitali ya Aga Khan na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na klabu ya ...
Soma Zaidi...
Watanzania wameombwa kwa pamoja kushirikiana na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya SADAKA NETWORK , Hospitali ya Muhimbili na Aga Khan kwa kushirikiana na Women to women foundation kuchangia kurudisha tabasamu usoni kwa wakina mama na watoto waliopata matatizo hayo kwa bahati mbaya, kupata ajali,kwa ukatili wa kijinsia, kupigwa au matatizo yoyote yaliyopelekea wao kuharibika maumbile yao ikiwa ni usoni ama sehemu nyengine ya mwili.
Mwanzilishi wa taasisi hiyo Dkt. Ibrahim Msengi akizungumza ...
Soma Zaidi...