Times Fm mguso wa jamii
Maisha Mseto (TIMES FM) (Identity Code: C0011)
Radio Show
Maisha Mseto (TIMES FM) (Identity Code: C0011)
Radio Show

Personal Message

Watanzania tumegawanyika katika madaraja tofauti wapo waliokuwa nacho na wasiokuwa nacho ila kwa ujumla wetu wote ni jamii moja, Hivyo basi tunatakiwa kuungana katika kipindi cha uhitaji.Sisi kama Times fm Maisha mseto tunaguswa na haya hivyo tunakuomba nawe mwana jamii tuungane pamoja kukuza na kuleta maendeleo katika jamii yetu.

Initiatives

Put a Smile Back On Their Faces - Press Conference
Nov 08, 2018

Watanzania wameombwa kwa pamoja kushirikiana na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya SADAKA NETWORK , Hospitali ya Muhimbili na Aga Khan kwa kushirikiana na Women to women foundation kuchangia kurudisha tabasamu usoni kwa wakina mama na watoto waliopata matatizo hayo kwa bahati mbaya, kupata ajali,kwa ukatili wa kijinsia, kupigwa au matatizo yoyote yaliyopelekea wao kuharibika maumbile yao ikiwa ni usoni ama sehemu nyengine ya mwili.

Mwanzilishi wa taasisi hiyo Dkt. Ibrahim Msengi akizungumza... Read More...

Register for Free

Followers

Donate to community projects

DONATE

View All Services

All Services