Do as you please but you are going to get paid as you do
Alhad M. Salum (Identity Code: A0002)
Sheikh wa mkoa wa dar es salaam

Shekhe Alhad Mussa Salum - Personal Certificate (Kiswahili)

Mimi ndugu yenu ALHAD sheikh wa mkoa wa Dar es salaam na mwenyekiti wa kamati ya amani ya viongozi wa dini mbalimbali mkoa wa Dar es salaam, nikukaribishe katika ukurasa huu wa SADAKA network, ukurasa ambao wa kuishi pamoja nami, kupata nafasi mbalimbali na miongozo mbalimbali ya dini yetu tukufu, nami nitakutunukia cheti cha mahaba na Barka kama kumbukumbu katika maisha yetu ya undugu huu,katika Imani, nikuombe sana tuishi pamoja katika SADAKA network, kwa ajili ya kudumisha mapenzi kati ya umma wa kiislam.
Mwenyezi Mungu aendelee kukubariki sana kwa Barka za mtume wetu Mohamed, (s.w) karibu sana katika ukurasa wangu huu, ahsantum Assalaam aleykum warahmatullah wabarakat.