Do as you please but you are going to get paid as you do
Alhad M. Salum (Identity Code: A0002)
Sheikh wa mkoa wa dar es salaam

Shekhe Alhad Mussa Salum - Wisdom Certificate 4 (Kiswahili)

Bismillahi rahman rahim, asalam aleykum warahmatullah wabarakat , mimi naitwa Alhadi Musa salum ni shekhe wa mkoa wa dar na mwenyeketi wa kamati ya amani ya viongozi wa dini mbalimbali katika mkoa wa dar es salaam nichukue fursa hii kukukaribisha katika ukurasa wangu ukurasa ambao utapata ujumbe wa mahaba na baraka toka kwangu ikiwa ni zawadi kwako , nakuomba tembelea ukurasa huu wa sadaka network ili tuishi pamoja katika uhuwatull islamia, undugu wa kiislamu ili kupokea mafunzo mbalimbali na nasaha mbali mbali kama tulivyoelekezwa na mtume wetu mohamed (s.w), Nakukaribisha sana katika ukurasa huu tuishi pamoja, karibu sana .Asalam aleykum warahmatullah wabarakat.