Don't wish for it, Work for it.
Hasheem Thabeet (Namba ya Utambulisho: Y0005)
Mwanamichezo
Hasheem Thabeet (Namba ya Utambulisho: Y0005)
Mwanamichezo

Ujumbe Binafsi

Push yourself, Because no one else is going to do it for you.

Miradi

Rudisha tabasamu usoni mwao kwenye TOT Bonanza na SADAKA angels.
Jul 27, 2019

Ilikuwa tarehe 27/07/2019 ambapo TOT BONANZA lilifanyika katika viwanja vya Posta kijitonyama iliyoanza kwa mashindano ya mbio mapema saa 12 asubuhi. Watu wachache walifanikiwa kufika mapema huku wengine walifika baadae saa 4 asubuhi. Michezo ilifurahisha kwasababu kulikuwa na washiriki wengi kama wajasiriamali, wanamichezo na washangiliaji SADAKA network pia tulikuwepo. Washiriki walipata nafasi ya kujionea mambo mapya na marafiki. Kila kitu kilichofanyika siku hiyo kilikuwa cha kufurahisha... Soma Zaidi...

Rudisha tabasamu usoni mwao -Kambi ya uchunguzi Aga khan 2019
Jul 13, 2019


IIlikua tarehe 13 julai 2019 timu ya sadaka network tulifika agakhan hospitali tayari kwakunzana sehemu ya kwanza ya mradi wa kurudisha tabasamu usoni mwa waathirika wa ajali za moto na vurungu za majumbani.
Tunashukuru sana kwakua muitikio ulikua mkubwa watu wengi walifika kwajili ya uchunguzi wa awali Watoto na wanawake walifika kwa wingi kutoka sehemu tofauti tofauti. Kama timu, tuliungana na madaktari kutoka Agakhan na Muhimbili hospitali kwa pamoja tulishirikana kuwa hudumia... Soma Zaidi...

Rudisha tabasamu usoni mwao 2019 kwenye UDSM bonanza
Jun 29, 2019

Mchezo ni lugha ya kimataifa. Mara nyingi huonekana kama aina ya burudani au uajiri (kwa wachezaji), ila ukweli ni kwamba mchezo, ingawa hili si dhahiri, unalenga na unatumika kwa ajili ya kufanikisha madhumuni mengine, moja kati ya hayo ni kuleta/kuendeleza amani. La mwisho (miongoni mwa yaliyotajwa) kuwa lenye umuhimu mkubwa katika jamii zenye machafuko/mafarakano/vurugu; michezo inaweza ikatumika. Katika ubora wake, michezo inaweza kuleta umoja baina ya watu, bila kujali asili yao,... Soma Zaidi...

Rudisha tabasamu usoni mwao -kambi ya uchunguzi kisarawe.
Jun 29, 2019

Mradi wa “ Rudisha tabasamu kwenye nyuso zao" unadhumuni la kuwafanyia upasuaji wa kurekebisha wanawake na watoto nchini Tanzania. Kama sehemu ya mradi huu tuliamua kutembelea wilaya ya Kisarawe kwa kusudi la kuweka kambi ya uchunguzi ya kutafuta wanawake na watoto wenye makovu na yaliyo sababishwa na ajali, ajali za moto na ukatili wa kijinsia.
Tulifika Kisarawe Jumamosi asubuhi tarehe 29/06/2014 pamoja na madaktari kutoka Hospitali ya Aga Khan na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na klabu ya... Soma Zaidi...

Jiandikishe bure

Wafuasi

Changia mradi ya jumuiya

CHANGIA

Onyesha huduma zote

Huduma zote