Hakika hamuwezi kuwatosheleza watu kwa mali zenu,Basi watoshelezeni kwa tabia zenu
Shekhe Abdallah I. Mtitu (Namba ya Utambulisho: A0003)
Sheikh wa wilaya ya Kigamboni
Masjid Noor (Kituo cha Afya Kigamboni)
Dar es Salaam, Kigamboni, Dar es salaam
Tanzania

Sheikh Abdallah Mtitu - Cheti Binafsi (Kiswahili)

Assalaam Aleykum

Hakika yenu hamtaweza kuwakunjuwa watu kwa Mali zenu, basi wakunjueni kwa tabia zenu njema zikibeba upendo, adabu, na nidhamu ndiyo kitu pekee cha kutosha kwa jamii.

Na utafute kwa aliyokupa Mwenyezi Mungu makazi ya akhera wala usisahau fungu lako la dunia. Na fanya wema kama alivyokufanyia wema Mwenyezi Mungu, wala usitafute ufisadi katika ardhi, hakika Mwenyezi Mungu hawapendi mafisadi. (SURA AL-QASAS 28:77)