Uongozi ni utumishi
Mchungaji Ivan C. Maganga (Namba ya Utambulisho: R0030)
Mchungaji
Bether Liver of life (stanley sec school)
Dar es Salaam, Kigamboni, Dar es salaam
Tanzania

Sala kwa ajili ya Amani nyumbani

Sote tunatamani nyumba yenye Amani. Nyumba yenye Amani inaleta Amani ya akili , mwili na roho kwa wale wanaoishi ndani yake. Amani nyumbani inaweza kuvurugwa na wale wanaoishi ndani au nje ya nyumba lakini sala huweka nyumba katika Amani na usalama