Kwa Mungu hakuna lisilowezekana
Askofu Sylvester S. Gamanywa (Namba ya Utambulisho: R0001)
Askofu
BCIC Mbezi Beach (Mbezi Juu)
Dar es Salaam, Kinondoni, Dar es salaam
Tanzania

Sala kwa ajili ya marehemu

Kadiri tunavyo ishi, tunajikuta tunapoteza wapendwa wetu. Tunalia na kuhuzunika na kumuuliza Mungu kwanini wapendwa wetu wametuacha. Na mara nyingine tunapoteza matumaini kufuatia kifo cha watu tunaowategemea . Majibu na faraja yanapatikana kwa kusali.