Kwa Mungu hakuna lisilowezekana
Askofu Sylvester S. Gamanywa (Namba ya Utambulisho: R0001)
Askofu
BCIC Mbezi Beach (Mbezi Juu)
Dar es Salaam, Kinondoni, Dar es salaam
Tanzania

Sala ya safari njema

Safari kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine inaweza kuleta mambo ambayo hukuyatarajia . Safari ya kuelekea usikokujua mara nyingi inagubikwa na woga. Ni muhimu kuweka Imani yetu kwa Mungu ili atubariki sisi na wapendwa wetu kabla na baada ya safari.