Kwa Mungu hakuna lisilowezekana
Askofu Sylvester S. Gamanywa (Namba ya Utambulisho: R0001)
Askofu
BCIC Mbezi Beach (Mbezi Juu)
Dar es Salaam, Kinondoni, Dar es salaam
Tanzania

Sala ya mafanikio katika biashara

Kila mtu ambaye anafanya biashara angependa kupata faida na kuona biashara yake inakua /inaendelea . Watu wengi hawaendelei kibiashara kwa sababu ya kutomtegemea Mungu. Maendeleo katika biashara yanaweza kufikiwa kwa kuongozwa na Mungu.