Kwa Mungu hakuna lisilowezekana
Askofu Sylvester S. Gamanywa (Namba ya Utambulisho: R0001)
Askofu
BCIC Mbezi Beach (Mbezi Juu)
Dar es Salaam, Kinondoni, Dar es salaam
Tanzania

Sala kwa ajili ya mchumba anayekufaa

Watu wengi wanahitaji kutafuta mwenza ambae wataendana kitabia. Kuwa na mwenza ambae mnatofautiana tabia inaweza kuleta matatizo kwa siku za baadae. Kupata mwenza mnaeendana kitabia huleta furaha na Amani. Ni muhimu kusali ili kupata mwanaume au mwanamke ataekuwa sahihi kwako.