Kwa Mungu hakuna lisilowezekana
Askofu Sylvester S. Gamanywa (Namba ya Utambulisho: R0001)
Askofu
BCIC Mbezi Beach (Mbezi Juu)
Dar es Salaam, Kinondoni, Dar es salaam
Tanzania

Askofu Sylvester S. Gamanywa - Cheti cha ujumbe wa hekima 1 (Kiswahili)

Naitwa askofu Sylvester Gamanywa ni mwangalizi mkuu wa makanisa ya wapo mission international, nafurahi kukutambulisha katika jukwaa langu jipya la SADAKA network ambapo ukiingia ndani yake utaweza kujipatia cheti maalum cha ujumbe wa hekima, hii ni zawadi yangu kwako ,karibu sana katiKA SADAKA network