Kwa Mungu hakuna lisilowezekana
Askofu Sylvester S. Gamanywa (Namba ya Utambulisho: R0001)
Askofu
BCIC Mbezi Beach (Mbezi Juu)
Dar es Salaam, Kinondoni, Dar es salaam
Tanzania

Askofu Sylvester S. Gamanywa - Cheti Binafsi (Kiswahili)

Naitwa Askofu Sylveter Gamanywa muangalizi mkuu wa kitaifa wa makanisa ya wapo mission international,furaha yangu ni kukutambulisha kwenywe tovuti yangu mpya ya SADAKA network na ukifungua katika Tovuti hii utakutana na zawadi yangu ambayo ni yam waka huu yenye cheti maalum cha salamu za mwaka mpya utapata cheti hicho bila malipo yoyote.

Karibu kutembelea katika tovuti yangu ya SADAKA network.