uongozi ni utumishi
Askofu Nickson J. Kalinga (Namba ya Utambulisho: R0031)
Askofu
Bethel river of life (Stanley sec school)
Dar es Salaam, Temeke, Dar es salaam
Tanzania

Katika safari ya maisha ya mwanadamu njia anayoichagua na utayari wake wa kujitolea utaonyesha thamani ya uwepo wake kwake yeye, familia, jamii na mbele ya mwenyezi Mungu. Mara nyingi tunaomba msaada kwa Mungu, kutuwezesha kuimarika sisi wenyewe na kuimarisha maombi yetu na Imani zetu ili kuongeza thamani ya maisha yetu. SADAKA network inakuwezesha kuwa karibu zaidi na jumuiya yako, inakupa nguvu na matumaini kwa kujitolea kwa jamii yako na kugusa maisha yao. Luka 6:38 - ”Muwe wepesi wa kutoa nanyi mtapokea. Kipimo mtakachotoa mtarudishiwa kikiwa kimejaa na kushindiliwa na kutikiswa na kufurika. Kwa kuwa jinsi mtakavyotoa, ndivyo mtakavyopata.”

Pamoja Tunaweza, Umoja ni nguvu!

Miradi yetu ya kijamii

Miradi mipya itakuwepo hivi karibuni, tafadhali tutembelee punde.