Rudisha hii ni saa ya uokovu Duniani
Mchungaji Festo C. Simlembe (Namba ya Utambulisho: R0033)
Mchungaji
Uzima bonde la baraka (Toangoma sec school)
Dar es Salaam, Temeke, Dar es salaam
Tanzania

Sala ya safari njema

Safari kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine inaweza kuleta mambo ambayo hukuyatarajia . Safari ya kuelekea usikokujua mara nyingi inagubikwa na woga. Ni muhimu kuweka Imani yetu kwa Mungu ili atubariki sisi na wapendwa wetu kabla na baada ya safari.