Mchungaji
Festo
C.
Simlembe
(Namba ya Utambulisho: R0033) Mchungaji
Uzima bonde la baraka (Toangoma sec school)
Dar es Salaam,
Temeke,
Dar es salaam
Tanzania
House Location
Close
Sala ya mafanikio katika mahusiano
Katika maisha yetu ya kila siku tunakutana na watu tofauti na tunakuwa karibu yao. Tunapata marafiki ambao wanabadilika kuwa ndugu kutoka na ukaribu tulioutengeneza. Tukumbuke kumwomba Mungu kutuongoza katika kila urafiki mpya tunaokutana nao katika maisha ili urafiki tulio uanzisha udumu milele na kuto badilika kuwa uadui.