Mshukuru Muumba
Shekhe Maulid S. Kidebe (Namba ya Utambulisho: A0005)
Sheikh wa wilaya ya ubungo
Mbezi ya kimara (karibu na masjid nuur)
Dar es Salaam, Ubungo, Dar es salaam
Tanzania

Dua kwa ajili ya kujalia Amani nyumbani

Sote tunatamani nyumba yenye Amani. Nyumba yenye Amani inaleta Amani ya akili , mwili na roho kwa wale wanaoishi ndani yake. Amaninyumbani inaweza kuvurugwa na wale waliomo ndani au nje ya nyumba lakini Imani na dua huweka nyumba katika Amani na usalama .