Hapana maisha mazuri na ya kudumu ila maisha ya akhera.
Shekhe Juma S. Muyenga (Namba ya Utambulisho: D0002)
Sheikh
Faith an madina (Ospital ya dr hameer)
Dar es Salaam, Ilala, DSM
Tanzania

Dua ya kujalia afya njema

Kila Mwanadamu anahitaji kuwa na afya njema ili aweze kuwa na furaha katika maisha yake . Afya ya Kimwili, kiakili na kiroho ni Baraka kutoka kwa ALLAH, hivyo basi, tunahitaji KUOMBA DUA kwa ajili ya afya ya wapendwa wetu. ILI Allah ambaye ni mponyaji na mpaji wa yote Aweze kuwapunguzia mizigo waliyonayo katika hii Dunia na ,kuwapa nguvu na afya njema.