Hapana maisha mazuri na ya kudumu ila maisha ya akhera.
Shekhe Juma S. Muyenga (Namba ya Utambulisho: D0002)
Sheikh
Faith an madina (Ospital ya dr hameer)
Dar es Salaam, Ilala, DSM
Tanzania

Dua kwa ajili ya mwenzi anayekufaa

Watu wengi wanahitaji kutafuta mwenza ambae wataendana kitabia. Kuwa na mwenza ambae mnatofautiana tabia inaweza kuleta matatizo kwa siku za baadae. Kupata mwenza mnaeendana kitabia huleta furaha na Amani. Ni muhimu kuswali ili kupata mwanaume au mwanamke ataekuwa sahihi kwako na Allah hufahamu yote.