Hapana maisha mazuri na ya kudumu ila maisha ya akhera.
Shekhe Juma S. Muyenga (Namba ya Utambulisho: D0002)
Sheikh
Faith an madina (Ospital ya dr hameer)
Dar es Salaam, Ilala, DSM
Tanzania

Dua ya kujalia mavuno bora

Kilimo ni uti wa mgongo wa familia nyingi. Kuna wakati, mvua hazinyeshi kwa wakati na jua linawaka sana na mazao yanakufa. Kupitia muongozo na Baraka za ALLAH tunapata kuishi na kupitia Imani yetu kwake anatubariki..ili ardhi kuwa na rutuba na kuweza kuzalisha, tunahitaji kumuamini Allah na kutimiza Matakwa yake ,tutoe ili tuweze kupokea. Yeye pekee anayeweza kurudisha kile kilichopotea na kutupa mvua na mavuno bora.