Yaache masiku yafanye yale yanayotaka
Shekhe Sefu S. Muyenga (Namba ya Utambulisho: D0003)
Sheikh
Faith an madina. (Ospital ya dr hameer.)
Dar es Salaam, Ilala, DSM
Tanzania

Sheikh Sefu Sadick Muyenga - Cheti Binafsi (Kiswahili)

Yaache masiku yafanye yale yanayotaka;Na utuvu wa ile nafsi ni pale yanapopitishwa yale maamuzi, na katu wewe usipapatike kwa yanayozuka ya zile siku na kamwe hakuna kwa yanayozuka Duniyani kudumu, na kuwa mtu kwa yale yanayozuka madhubuti na yako ile hulka ni kule kutoa na ule ukarimu (au ni kuleepesi na ule upole)."
Qur'an Suuratu Nnahli Aya ya 96:
Q.16:96;
"Vile vilivyo kwenu nyinyi (katika hii Duniya) vitakwisha na vile vilivyo mbele ya Allah-Mtukufu ni vyenye kubaki. Na Ninaapa kwa hakika Sisi Tutawajazi wale ambao walisubiri (juu ya kutekeleza ile ahadi) ujira wao kwa uzuri wa yale ambayo wao walikuwa wanafanya."