Kila siku ina jambo la kukufunza haijalishi ni nani ama nini kimekupa fundisha,kuwa tayari kujifunza. Ukapate jambo jipya leo la kukusaidia maishani mwako.