Fanya utakavyo, kama ufanyavyo ndivyo utakavyolipwa
Alhad M. Salum (Namba ya Utambulisho: A0002)
Sheikh wa mkoa wa dar es salaam

Dua ya kujalia mafaniko katika ndoa

Mtume Muhammad ( SAW) alisema “ mtu akioa basi ametimiza nusu ya dini . Kila mmoja anayefunga ndoa angependelea kuonandoa yake inakua nakuongozwa na upendo.. Haya yote yanawezekana endapo wanandoa watamweka Allah kati yao. Wanandoa wengi hupata maumivu kwa sababu ya kusahau kuwa ndoa ni muunganiko mtakatifu na utakatifu wake hupewa nguvu kwa dua na swala pamoja na upendo. Ili kufurahia maisha ya ndoa, inabidi kumruhusu Allah kuwafundisha jinsi ya kupendana .