Fanya utakavyo, kama ufanyavyo ndivyo utakavyolipwa
Alhad M. Salum (Namba ya Utambulisho: A0002)
Sheikh wa mkoa wa dar es salaam

Dua ya kujalia mafanikio katika mahusiano

katika maisha yetu ya kila siku tunakutana na watu tofauti na tunakuwa karibu yao. Tunapata marafiki ambao wanabadilika na kuwa ndugu kutokana na ukaribu tulioutengeneza. Tukumbuke kumwomba Allah atuongoze k katika kila urafiki mpya tunaokutana nao katika maisha ili urafiki tulio uanzisha udumu milele katika maisha haya na yajayo .