Fanya utakavyo, kama ufanyavyo ndivyo utakavyolipwa
Alhad M. Salum (Namba ya Utambulisho: A0002)
Sheikh wa mkoa wa dar es salaam

Dua kwa ajili ya kujalia Amani nyumbani

Sote tunatamani nyumba yenye Amani. Nyumba yenye Amani inaleta Amani ya akili , mwili na roho kwa wale wanaoishi ndani yake. Amaninyumbani inaweza kuvurugwa na wale waliomo ndani au nje ya nyumba lakini Imani na dua huweka nyumba katika Amani na usalama .