Fanya utakavyo, kama ufanyavyo ndivyo utakavyolipwa
Alhad M. Salum (Namba ya Utambulisho: A0002)
Sheikh wa mkoa wa dar es salaam

Dua ya kujalia safari njema

Safari kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine inaweza kuleta mambo ambayo hukuyatarajia . Safari ya kuelekea usikokujua mara nyingi inagubikwa na woga. Ni muhimu kuweka Imani yetu kwa Allah ili atubariki sisi na wapendwa wetu kabla na baada ya safari.