Neema yako yanitosha
Mchungaji Elisha E. Nyamlundwa (Namba ya Utambulisho: R0032)
Msimamizi wa kanisa
River of Life (Kiwanda cha yeboyebo)
Pwani, Mkuranga, coast regional
Tanzania

Sala ya afya njema

Kila Mwanadamu anahitaji kuwa na afya njema ili aweze kuwa na furaha katika maisha. Afya ya Kimwili, kiakili na kiroho ni Baraka kutoka kwa Mungu, hivyo basi, tunahitaji kusali kwa ajili ya afya ya wapendwa wetu. ili Mungu ambae ndiye msimamizi wa afya na maisha yetu awapunguzia mizigo waliyonayo na kuwawezesha kurudisha matumaini, nguvu na afya njema